
Muandaaji wa Sherehe ya siku ya Mwanamke yenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani,Shamim Mwasha akizungumza machache wakati wa hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam

MC wa Hafla hiyo,Dada Regina Mwalekwa akimtambulisha,Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe ya Mwanamke yenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam.






























jamani mlipendezaje yaani wanawake mling'ara kwa make up kwa kweli mlikuwa kivutio.
ReplyDeletewatu wote mlipendeza jamani, hadi raha!
ReplyDelete