Nafasi Ya Matangazo

March 03, 2012

 Sioi akiwa na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Arusha na Wilaya ya Arumeru alipopita Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya CCM kumtangaza kuwa mgombea wake baada ya uamuzi wa Kamati Kuu leo.
 MGOMBEA wa CCM uchaguzi jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari
Posted by MROKI On Saturday, March 03, 2012 1 comment

1 comment:

  1. Hongera kwa kuteuliwa na kila la kheri katika kuipeperusha bendera ya CHAMA

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo