Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa nchini, Amour Zacarias Kupela wakati Balozi huyo alipomtembelea rais Kikwete Ikulu ya jijini Dar es Salaam hii leo kwa mazungumzo. Wawili hao walizumngumza mambo mbalimbali yazihusuzo nchi zao na ushuirikiano uliopo bainaya nchi hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment