Nafasi Ya Matangazo

March 04, 2012


Dakika ya 19 na 32 za mchezo,Mshambuliaji wa timu ya Simba,Felix Sunzu akipachika mabao 2 katika kipindi cha kwanza,baada ya kupata pasi safi kabisa kutoka kwa mchezaji Emmanuel Okwi (Balloteli),hivi sasa ni kipindi cha pili na mpira unaendelea, Kiyovu mnamo dk ya 76 wanaweka goli la  kwanza kimiani.

Felix Sunzu akikimbia kwa furaha mara baada ya kuitikisa nyavu za Kiyovu goli la pili.
  Kikosi cha Kiyovu Rwanda.
 Kikosi cha Simba SC
 Shangwe kutoka kwa mashabiki wa simba.
Sunzu akihangaika kumtoka mchezaji wa Kiyovu.
Washabiki wa Simba full buruuudani baada ya timu yao kuibuka na goli 2 kipindi cha kwanza.Mpira unaendelea kipindi cha pili ambapo timu ya Kiyovu inajipatia goli la 1.

Watangazaji wa Clouds FM/TV Eprahim Kibonde na Shaffii Dauda wakienda hewani live hivi sasa .
 Clouds TV wakiwa live 
 Mashabiki wa simba kibao.
 Shabiki wa Simba akipuliza Vuvuzela.
 Burudani za hapa na pale zilikuwepo Uwanjani.
 Shabiki wa Simba kwa Mbwembwe balaa.
 Mashabiki wa timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam,wakiwa wamefurika kwa wingi ndani ya uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuishangilia timu yao inayoingia dimbani muda mfupi ujao kumenyana na timu ya Kiyovu ya nchini Rwanda katika mashindano ya Kombe la Shirikisho ikiwa ni mchezo wa pili mara baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa awali huko nchini Rwanda.
Baadhi ya Wanahabari wakiwapiga picha watu waliokuwa wamevalia kinyago cha mfano wa mnyama Simba.

Wachezaji wa Simba wakipiga jalamba kabla ya mchezo kuanza.
Wachezaji wa Kiyovu ya nchini Rwanda wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mchezo.
 Picha na Jiachie blog.
Posted by MROKI On Sunday, March 04, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo