Nafasi Ya Matangazo

March 05, 2012

Familia ya Bwana Gabriel Mponzi wa Oysterbay,Jijini Dar-es-salaam.Wanasikitika kutangaza kifo cha
mpendwa mtoto wao Jane Mponzi “Mama Melanie” pichani kilichotokea siku ya jumapili tarehe 4/3/
2012 katika Hospitali ya Agha Khan Dar-es-salaam.

Ibada ya kumuaga marehemu itafanyika Jumanne tarehe 6/3/2012 nyumbani kwa marehemu
Oysterbay, Dar-es-salaam kuanzia saa 6 mchana na marehemu atazikwa Ipamba-Tosamaganga, Iringa
siku ya Jumatano tarehe 7/3/ 2012.

Kwa maelezo zaidi kuhusu ratiba ya mazishi, wasiliana na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi
Dr. Ponziano Mponzi kupitia namba 0767 600 604.

Ndugu, jamaa na marafiki waliopo mbali, wanaweza kutuma michango yao ya kufanikisha safari ya
mwisho ya kwenda kumlaza mpendwa wetu Iringa kupitia:

M-PESA- 0756 -999-900
TIGO PESA- 0713 -123- 617
AIRTEL MONEY- 0784- 615-566

Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina la Bwana lihimidiwe.
Amina.
Posted by MROKI On Monday, March 05, 2012 4 comments

4 comments:

  1. Hi Jane, nakukumbuka tulikuwa tunakutana kwenye lift za PPF Tower. You were always cheerful I never imagined your husband had also passed away.
    Rest now in peace and peace be on your family and baby gal.

    ReplyDelete
  2. RIP Jane

    ReplyDelete
  3. Rest in peace wajina.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo