Nafasi Ya Matangazo

January 08, 2012

Onesho maalum la mavazi kwaajili ya kuwachangia waathirika wa Mafuriko linataraji kufanyika Januari 12, 2012 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onesho hilo limeandaliwa kwa pamoja kati ya Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa na mbunifu Mashuhuri wa mavazi Tanzania, Mustafa Hassanali.

Kiingilio katika onesho hilo kitakuwa ni Tsh 50,000/= kwa VIP na Tsh 25,000/= viti vya kawaida huku ukitakiwa kuvalia kivazi chako cheuzi.
Posted by MROKI On Sunday, January 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo