Nafasi Ya Matangazo

January 09, 2012

Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (katikati) akikabidhi moja ya magodoro kwa Makamu Mwenyekiti wa Feed and Tend International (FTI),Bw. Joseph Jacob (kushoto) leo hii, ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kushoto) akikabidhi box ya Maziwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Feed and Tend International (FTI),Bw. Joseph Jacob (kulia) leo hii,ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.Wengine Pichani ni Sehemu ya Watoto hao.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kushoto) akikabidhi Maziwa ya kopo kwa baadhi ya Watoto wa Kituo cha Feed and Tend International (FTI) ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.
Posted by MROKI On Monday, January 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo