Nafasi Ya Matangazo

January 08, 2012

Leo ni siku ya Kuzaliwa watu wawili mashuhuri katika anga ya filamu na utangazaji nchini Tanzania na Afrika mashariki. Hawa si wengine bali ni Mwigizaji, Steven Kanumba na Mtangazaji wa TV, Ben Kinyaiya.
Vijana hawa leo wanaadhimisha miak kadhaa ya kuzaliwa kwao, kwa namna moja ama nyingine kila mmoja anamshukuru Mungu kwa mafanikioo na hatua aliyopiga katika maisha yake. 

Blogu jii inaungana na wadau wote na wapenzi na mashabiki wakubwa wa Kanumba na Kinyaisha kuwatakia Heri na fanaka tele katika Siku yao ya kuzaliwa. Mungu awabariki katika kazi za mikono yao.

“Lilikuwa ni jibu zuri sana kutoka kwa philosopher
mmoja hivi alipoulizwa swali katika mahojiano na Father Kidevu Blog,
Define Birthday!”

JIBU: Ni siku pekee katika maisha yako ambayo wakati ulipolia na mamayako alikuwa anafurahi...! HAPPY BIRTH DAY!!! KANUMBA & KINYAIYA
Posted by MROKI On Sunday, January 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo