Hii ndio tuzo ya heshima kwa nhif iliyotolewa na taasisi ya hifadhi ya jamii duniani (ISSA) ya kuthamini na kutambua maboresho maboresho na ubunifu uliotukuka kwenye huduma za afya barani Afrika.
Mkurugenzi wa NHIF Bw.Emanuel Humba akiwaonyesha wanahabari tuzo ya mshindi wa kwanza barani Afrika kwa mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya Hifadhi ya Jamii Duniani (ISSA) kwenye ukumbi wa mikutano wa nhif makao makuu.




0 comments:
Post a Comment