Nafasi Ya Matangazo

December 08, 2011

Mchezaji wa Sudan Saif Eldin Aliidris akimiliki mpira huku mchezaji wa Rwanda Kalekezi Olivier ambaye ni kapten watimu hiyo akijaribu kumzuia wakati wa mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Tanzania, timu ya Rwanda imefanikiwa kuingia katika fainali baada ya kuifunga Sudan Magoli 2-1.

mchezaji wa Rwanda Kalekezi Olivier akipambana na mchezaji wa Sudan Saif Eldin Aliidris wakati, wa mchezo wa nusu fainali ya kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo.
Golikipa watimu ya Rwanda akiruka juujuu kuudaka mpira wakati timu ya Sudan ikifanya mashambulizi katika lango la Rwanda.
Posted by MROKI On Thursday, December 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo