Nafasi Ya Matangazo

December 04, 2011

Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam
ufundi wa masubwi upo hapa
ngumi ndonga masubwi mwanzo mwisho
Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo.
Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Posted by MROKI On Sunday, December 04, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo