Afisa Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira Bi Fainahappy Kimambo akimuonyesha Vipeperushi vya Mkakati wa Mazingira Bw Ali Hassan kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayofanyika Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere maarufu kama Saba Saba Mjini Dar es Salaam.
December 04, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment