Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa NBC, William Kallaghe (kushoto), Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) na Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya wakizindua huduma ya Master Card ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Master Card ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana (katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa benki hiyo, William Kallaghe na kulia ni Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya.
Baadhi ya waaandishi walioshiriki uzinduzi wa kadi ya Master Card ya Benki ya NBC wakifuatilia uzinduzi huo. 



0 comments:
Post a Comment