Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akipunga mkono wakati akiwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazo fanyika mwezi ujao.
Salha aliondoka na ndege ya Shirika la Ndege ya Uingereza AB 0046.
Salha alipokuwa akielekea Uwanja wa ndege hii leo.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (katikati) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kulia) katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kushoto), Mama yake mzazi Sabrina Hamisi na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 walipo msikindikiza kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akizungumza jambo na mama yake mzazi, Sabrina Hamisi (kulia) na mdogo wake Sania Izrael kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 mudamfupi kabla hajaondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akiwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.
Hongera miss wetu.
ReplyDeleteKaribu kwenye friji...
ReplyDelete