Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es Salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kulia ni mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya.
0 comments:
Post a Comment