Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akimuliza Jambo Ofisa wa Huduma za Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw Abduliah Ali alipotembelea Kitengo cha Kima cha Huduma za Forodha Kulia Meneja Huduma Bw Victor Msuya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo ya Kuskani Makontena kwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw Harry Kitillya wakati wa Ziara ya Waziri Bandarini Kulia Mkurugenzi wa Idara ya Muungano Baraka Baraka na Mukurugenzi Mipango Ofisi ya Makamu waRais Bi Joan Mbuya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipewa Maelezo na Meneja Port Operostons Bw John Micah kwenye Hala la Kuekea Mizigo inayokwenda Zanzibar Bandari Mjini Dar es Salaam Wakati wa Ziara ya kutembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Pichakwahisani ya Ali Meja wa Ofisi ya Makamu wa Rais.
0 comments:
Post a Comment