Afisa Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la Precision, Alfonse Kioko (left) akitolewa damu kwa ajili ya kuchangia kwenye Mpango wa Taifa wa Damu Salama, wakati wa zoezi la utoaji damu kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo, lililofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa Precision Air wakijitolea kutoa damu katika ofisi za shirika hilo la ndege zilizopo jengo la Quality Plaza jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo la kutoa damu ili kuokoa maisha liliandaliwa na Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania.
0 comments:
Post a Comment