Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akipokea taarifa ya kuutambulisha mradi wa FHI pamoja tuwalee kutoka kwa Priskila Gobba ambaye ni Mkurugenzi wa mradi huo. WAMA kwa kushirikiana na FHI pamoja Tuwalee watafanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kuwakomboa watoto yatima wa Tanzania.
June 06, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment