Wazizri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Uzini, Mohamed Seif Khatibu nje ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge la bajeti 2011/2012 njini Dodoma.
Bajeti ya Fedha kwa nchi za Afrika Mashariki inataraji kusomwa katika kila nchi Juni 8, 2011 ambapo Tanzania Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo atasoma bajeti hiyo. Bunge hilo pamoja na bajeti pia litajadili masuala mbalimbali ya mstakabali wa nchi na maendeleo kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment