Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (kulia) akikabidhi zawadi kwa Emmanuel Chacha, mwandishi wa gazeti la Raia Mwema aliyeibuka mshindi katika nyanja ya Habari za Biashara na Uchumi kwa upande wa magazeti wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na kutolewa katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. NBC ilidhamini zawadi hiyo kwa shs milioni tano.
Baadhi ya waaandishi na wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) zilizoandaliwa na MCT jijini Dar es Salaam juzi.





0 comments:
Post a Comment