Mkuu wa wilaya kigoma john Mongela (kushoto) akipokea msaada wa madawati kwa niaba ya shule ya sekondari ya Mwananchi ya mjini Kigoma kutoka kwa kwa Mkurugenzi wa masoko na huduma wa benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa (kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo shuleni hapo juzi.
Huyu TULI huyu me huwa namzimia sana huyu.
ReplyDeleteSijui nitaonana nae vipi!