Nafasi Ya Matangazo

May 29, 2011

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Evans Balama akipokea mfano wa hundi ya shs milioni tano kutoka kwa Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC,Bi. Robi Matiko-Simba ikiwa ni sehemu ya mchango wa benki hiyo kwa ajili ya mbio za Mwenge wa Uhuru. makabidhiano yalifanyika Mbeya hivi karibuni.
Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Robi Matiko-Simba (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni tano kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Bw. Evans Balama ikiwa ni sehemu ya mchango wa benki hiyo kwa ajili ya mbio za Mwenge wa Uhuru katika makabidhiano yaliyofanyika Mbeya hivi karibuni. Wengine pichani kushoto ni Meneja wa NBC Kanda ya Nyanda za Juu, Bw. Ramadhani Lesso, Meneja wa benki hiyoTawi la Mbeya, Bw. Salema Kileo (wa pili kulia)  na Bw. Lazaro Mwankenja, mmoja wa waratibu wa mbio hizo.
Posted by MROKI On Sunday, May 29, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo