Tunataka kuwaambia watu ukipost habari za tangazo letu tafadhali usikose kutwambia ili turudishe fadhila.
Pia sasa hivi tumeamua logo ya shindano hili ni hii hapa...Kuna nyingine tulitengeneza mwanzoni lakini hii ndio tumeichagua kwa sasa. Sasa kama ukipost habari za shindano hili tafadhali tumia picha hii.
Pia kutokana na blog mbalimbali zimepost hili shindano letu na tumeona kuna maswali ambayo hayana majibu kwenye comments zao. Na sisi kwa vile hatutaweza kupitia kila blog iliyopost maelezo na kuwaelewesha watu. Hapa nitaweka majibu ya maswali baadhi nimeona yameandika najua kuna mengi lakini hatujaweza kuyaona. Ila kama una swali usisite kututumia.
Blogu Hii pia inashiriki na kura yako ni muhimu.
TAARIFA ZAIDI INGIA www.tanzanianblogawards.com




0 comments:
Post a Comment