Nafasi Ya Matangazo

March 14, 2011

Mtaalamu wa bidhaa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma akionyesha hatua zitakazotumika katika kutuma sms kwenda namba 15544 na kujishindia milioni 3 kila siku katika promosheni ya kuwa milionea kila siku kwa muda wa siku 70 jumla ya shilingi Milioni 210 kushindaniwa,katikati Ofisa bidhaa na huduma Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi, Mtaalamu wa Mambo ya Habari  wa kampuni hiyoMatina Nkurlu.
Ofisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi akionyesha hatua zitakazotumika katika kutuma sms kwenda namba 15544 na kujishindia milioni 3 kila siku katika promosheni ya kuwa milionea kila siku kwa muda wa siku 70 jumla ya shilingi Milioni 210 kushindaniwa,katikati Mtaalamu wa bidhaa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma, Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
Posted by MROKI On Monday, March 14, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo