Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2011

 Mkazi wa Dar es Salaam akitafakari jambo kabla ya kushuka katika kivuko caha MV Magogoni katika gati ya Kigamboni. Kivuko hicho kilikuwa kinafanya kazi peke yake kwa siku ya jana na umati mkubwa wa watu ulikuwa ukijaa pamoja na magari.
Watu na magari yakiteremka katika kivuko hicho jana.
Posted by MROKI On Monday, January 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo