Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2011

Wafanyakazi na wanafamilia wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, (TPDC) mwishoni mwa wiki walikutana Wet n' Wild Kunduchi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufahamiana na kujumuika pamoja ikiw ani siku ya wanafamilia (Annual Family out).
  Mkurugenzi wa fedha na Utawala wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dk Joyce Singano akiwalisha keki watoto waliohudhuria hafla ya wanafamilia iliyofanyika jijini Dar es Salaam.  
 Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakicheza muziki wakati wa hafla hiyo.
 Watoto wakijumuika pamoja kwa kuogelea.
 Wengine walikuwa wakipiga stori ndani ya maji....
 Watoto wengine walijumuika katika kucheza muzikii katika maji.
 Mkurugenzi wa fedha na Utawala wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dk Joyce Singano akijumuika na wafanyakazi wengine wa shirika hilo kukata keki.  
 Washindi walipatiwa zawadi mbalimbali kutokana na michezo waliyoshiriki.
Posted by MROKI On Monday, January 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo