Nafasi Ya Matangazo

July 01, 2010

Kaimu mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwn. Michael Mhando (kushoto) akikabidhi mashuka ikiwa ni sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya wagonjwa wa saratani kwenye hospitali ya ocean road mfuko uadhimisha siku yake kitaifa Juni 30 kila mwaka kitaifa kauli mbiu "MTAJI WA MTANZANIA NI AFYA BORA,JIUNGE NA NHIF/CHF",anayepokea kwa niaba ya wagonjwa ni Kaimu Mganga Mkuu Dr. Diwani Msembo (kulia) wa taasisi hiyo.
Wafanyakazi wa NHIF kwa pamoja wakifuatilia kwa makini shukurani kutoka kwa kaimu Mganga Mkuu Dr. Diwani Msembo hayupo pichani ni kwa namna gani ameguswa na msaada uliowasilishwa kwani ni chachu na umedhihirisha ni kwa jinsi gani NHIF unawajali wanachama na wananchi kwa ujumla.

Posted by MROKI On Thursday, July 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo