Nafasi Ya Matangazo

July 01, 2010

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Juni 30, 2010. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa na katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Juni 30, 2010. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,Dodoma jana. Kikundi cha Ngoma cha Wanawake cha Mjini Dodoma wakitumbuiza wakati wa mapokezi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mjini Dodoma jana.

Posted by MROKI On Thursday, July 01, 2010 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 04, 2010

    Mimi nahisi hamna anayefaa kushika uraisi wa Tanzania ila Salim Ahmed Salim huyu kaitumikia Tanzania na Africa milele kwa anastahili kupata uraisi kwa sasa hivi, ana siasa nzuri na kujulikana ulimwenguni.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo