Nafasi Ya Matangazo

June 21, 2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,(wa pili kulia) akitembelea maeneo mbali mbali ya Skuli ya binafsi Sha High School,mara baada ya kuizindua rasmi,iliyopo kwa Mchina Mkoa wa Mjii Magharibi Unguja jana,(katikati) Mkurugenzi wa Skuli hiyo Ahmada Yahya Abdulwakil na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akifugua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli ya binafsi Sha High School,iliyopo Kwamchina,Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Mkurugenzi wa Skuli hiyo Ahmada Yahya Abdulwakil.
Wanafunzi wa Skuli ya Sha High School,wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,alipowasili katika skuli hiyo kuizindua rasmi na kuendelea kupatiiwa Elimu wanafunzi mbali mbali wa Mji wa Zanzibar na Vitongoji vyake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akiwapungia mkono wanafunzi wa Skuli ya binafsi Sha High School,iliypo Kwamchina,Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,mara baada ya kuizindua (kulia) Mkurugenzi kuli hiyo Ahmada Yahya Abdulwakil.
Posted by MROKI On Monday, June 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo