Nafasi Ya Matangazo

June 17, 2010


Hivi ndivyo baadhi za vibanda vya ofisi za Mabasi Katika Kituo Kikuu cha Mabasi Msavu mjini Morogoro, Kituoni hapa kunastahili kujengwa majengo ya maana na si maboksi ya Mbao kama haya pia pakajengwa na vibanda vya kupumzikia abiria.
Kituo hiki hakina sehemu ya kupumzikia abiria kama ilivyo kwa kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo

Wachuuzi wa Biashara mbalimbali za kula na zile nyingine wamefurika kituoni hapo na nyakati za usiku ni balaa kwa usalama, japo hivi sasa kuna jenghwa uzio kuzunguka kituo hiki Muhimu ambacho ni njia panda ya magari yatokayo mikoa Iringa, Mbeya, Dodo, Singida, Tabora, Mwanza, Kigoma, Kagera nchi jirani kama Zambia, Malawi, Rwanda, Congo DRC, Burundi na Rwanda.
Posted by MROKI On Thursday, June 17, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo