Nafasi Ya Matangazo

June 18, 2010

Polisi akitoa upepo gurudumu la mbele la gari iliyoegeshwa mtaa wa Samora Dar es Salaam hivi karibuni.
Hapa anatoa upepo gurudumu la nyuma.Akirejea katika basi lake baada ya kutoa upepo katika gari.
Jamaa huyooo!! Ushauri ni kuwa kila ikifika majira ya kuanzia sa kumi jamaa huyu hupita mtaa wa Samora kuelekea Makao Makuu ay Polisi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuchukua wafanyakazi hivyo njiani akikuta gari limepaki njiani hata kwa dharula hulitolea upepo. Nadhani wengi wamekubwa na adha hiyo ingawa siku moja inadaiwa aliwamtolea bosi wake kijasho kikamtoka. Hivyo watumiaji wa barabara hiyo iweni makini na kadhia hii ya kutolewa upepo. a

Posted by MROKI On Friday, June 18, 2010 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJune 18, 2010

    duh jamaaa mwehu kweli kweli ubabe wa nini sasa? mshushie kichapo hata kama ni askari hana kazi ndo maana kapata muda wakushuka karandinga lake kufanya ubabe wake kama kweli ana mamlaka siaache ki bill au waite majembe wale!!!

    bongo africa noma kwei kwei

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2010

    Chizi tu huyo, ana kazi ya kufanya sijui kama bosi wake wanaona huu upuuzi!

    Aende kuzuia Ujambazi!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo