Nafasi Ya Matangazo

June 18, 2010

Mbunge wa Nariadi Mashariki, John Cheyo akifuatilia michango ya wabunge waliochangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma Juni 18, 2010. Asubuhi ya Leo Spika wa Bunge Samuel Sitta alisoma kwa ufupi ripoti ya hatua aliyochukuliwa Mbunge huyu aliyekuwa mmoja wa wasemaji wa Upinzani Bungeni kwa kuunga mkono Hotuba ya Bajeti kinyume na makubaliano na Kambi hiyo. Spika Sita alibainisha kuwa hatua hiyo ni sahihi na ilizingatia kanuni na sheria za Bunge hata ingekuwa Mbunge wa CCM amefanya hivyo hatua zingechukuliwa sawia.
Posted by MROKI On Friday, June 18, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo