Uchaguzi wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam uliopangwa kufanyika Jumapili Mei 9 2010 upo pale plae licha ya kuwepo kwa pingamizi la kisheria Mahakamani lililofunguliwa na mmoja wa waliokuwa wagombea wa Klabu hiyo Michael Wambura.
Uchaguzi huo unaendelea kutokana na pingamizi lililotolewa na Mahakama kwenda kwa Mwenyekiti wa Simba na si Kamati ya Uchaguzi Simba.
Uchaguzi huo unaendelea kutokana na pingamizi lililotolewa na Mahakama kwenda kwa Mwenyekiti wa Simba na si Kamati ya Uchaguzi Simba.
0 comments:
Post a Comment