Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2010

Mbunge wa Bukombe, Emmanuel Luhahula na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani humo, Mberito Magova, wamenusurika kifo baada ya kutekwa na kushambuliwa kwa mapanga na marungu na kundi la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi.

Tukio hilo liltokea Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 3 usiku na Pamoja na kuporwa vitu mbalimbli pia Bastola ya Mbunge huyo pia iliporwa.

Inaelezwa kuwa Luhaluha alijaribu kutumia bastola hiyo na kushindwa kupiga lakini majambazi walipoichukua waliitumia kupora magari mengine.
Posted by MROKI On Friday, May 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo