
Kikosi cha simba kilichowanyuka Haras El Houdod ya Misri 2-1.

Kocha wa Yanga Papic katikati ya mashabiki wa Simba

Mdau Amos Makala (chini mkono kichwani) nae hakukosekana alikuwa pamoja na viongozi wa Simba.

Hawa nao gemu waliangalia

Mgsi wa simba akiwatoka walinzi wa Haras El Hodoud ya Misri.

Bango la kejeli hilo..

Huyu alitabiri goli mbili hata mpira haujaanza.

Shabiki akishangilia kwa kupuliza Vulindela.
0 comments:
Post a Comment