Nafasi Ya Matangazo

April 26, 2010

Mwendeshaji wa Blogu ya watu Mroki Mroki "Father Kidevu" (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa The Guardian Ltd Kiondo Mshana juu ya nguvu ya blogu duniani na kushauri kampuni hiyo kuanzisha blogu.Katikati ni Mama Mshana.
Mama Mshana (katikati) akitushikanisha mikono Father Kidevu na Kiondo Mshana kuashiria mshikamano na umoja. Awali watu walikuwa wakidhani Kiondo na Mroki hawapatani kutokana na shughuli za kikazi. Kiondo ni mdau mkubwa wa blogu hii.
Posted by MROKI On Monday, April 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo