Nafasi Ya Matangazo

January 19, 2010

Hivi wadau nisaidieni, mwanzo wa milima ni upi? maana jana wakati napita katika pori la kwetu kule Kinyenze nikaona vichuguu hivi na nilipokuwa na vitafakari na kuangalia kule mbali nikaona milima nikasema hivi mwanzo wake sio kama huu. Wataalam nafikiri mtanipa majibu.
Posted by MROKI On Tuesday, January 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo