Nafasi Ya Matangazo

January 20, 2010

Mfasiri wa lugha ya Kifaransa na mtunzi wa Kitabu cha Baraka Obama, Jully Majuva akionesha kitabu chake hicho kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano maalum wa kuelezea maudhui ya kitabu hicho kilicho na mafunzo kwa vijana wapendao kwenda nje ya nchi kutafuta maisha hasa nchi za ulaya.

Tayari kitabu hicho kipo sokoni kwa nchi za ulaya na zaidi ya nakala 250 elfu zimekwisha kuuzwa.
Posted by MROKI On Wednesday, January 20, 2010 2 comments

2 comments:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo