Ajali zinapotokea watu hufa na wengine kujeruhiwa. Treni ya abiria ya Kampuni ya Reli ya TRL iliyoondoka jan jijini Dar es Salaam Kigoma imepata ajali Mkata kabla ya kufika Kimamba mkoani Morogoro na kujeruhi watu 45 na 7 kati yao hali zao nimbaya wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa matibabu.
Blogu hii inapashwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mtu asiyefahamika kufungua bolti za taruma za reli iliyopelekea kichwa kuacha njia na mabehewa 4 kati ya 15 kuanguka. Polisi kikosi cha Reli inafanya uchunguzi wa ajali hiyo. Ajali hii natokea baada ya siku chache za kusitisha mgomo wa wafanyakzi wa TRL.




Hivi kuna siku tutalala na kuamka bila kusikia NDUGU ZETU wakiuawa kwenye ajali hizi?
ReplyDeleteKila siku ni ajali ajali ajali na wanachopata ni SALAMU ZA RAMBIRAMBI tuuuuuuuuuuuuu.
Heaven help us alll
Ameeeen