
Mzee wa nani hii kulia na Mdau Ben Kisaka wakifutilia shoo ya Miss Ilala

Flavia nae alikuwa alikuwa roho mkononi kwa hofu kuwa mdau wake atashinda au laa.

Mzee wa Fulshangwe Bukuku akiwa na Mbunifu wa mitindo Fatma na binti yake.

Mbunifu wa mitindo Fatama akiwa na binti yake

Wapambanaji wakila pozi kwa snap.

Vidume waliweka amani katika shoo ya Miss Ilala.

Mwandaaji wa Miss Ilala Kalikumtima akifuatilia onesho.

Mdau Kavishe na wife wake walikuwapo ukumbini.
0 comments:
Post a Comment