
Askari Polisi Constable Robert Mpumilwa wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa mifugo Tanzania Bara akimuonyesha Mh. Rais Jakaya Kikwete aina ya fimbo maalum inayotunika wakati kufuatilia wezi wa mifugo katika viwanja vya Nanenane mjini Dodoma .

Askari wa Jeshi la Polisi Steshen Sajent Aliko Mwakalindile wa Kitengo cha Uchunguzi wa Hati, maandishi na Noti Bandia akimuonyesha Mh. Rais Kikwete namna ya kutambua noti bandia na halisi kwenye viwanja vya maonyesho ya Nanenane mjini Dodoma .
0 comments:
Post a Comment