Wanafunzi waliomkamata Maghembe kunako na kufanikiwa kushika Tano Bora ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2008 kitaifa, wanatoka shule ya Sekondari Marian Girls ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mkoa ambao ulikuwa ukitambulika na wengi kushika mkia kielimu.
Wanafunzi hao pichani juu wamefanikiwa kupata Daraja la Kwanza na Alama Saba kila mmoja ikimaanisha kuwa kila somo walipata Msonge yaani 'A'..
Kwa matokeo zaidi tembelea tovuti ya baraza la Mitihani la taifa hapa http://www.necta.go.tz/






Mbona wote sura zao ziko hivi? Hii inamaanisha nini?
ReplyDeleteSafi sana Mungu awanusuru na Mumiani wa duniani maana huku duniani siku hizi kuna hatari
ReplyDeleteAksante sana Mroki kwa picha hizi, binafsi nilikuwa sana na shauku ya kuwaona akina dada hawa vinara na nadhifu kabisa! Hongereni sana.... tupo pamoja!!!!
ReplyDelete