
Rais Jakaya Kikwete leo Februari 10 2009 aliialika timu ya taifa Taifa Stars kwaajili ya chakula cha mchana Iklulu ya Dar es Salaam. JK aliipongeza timu hiyo kwa mafanikio makubwa iliyoipata katika kipindi kifupi na kufanikiwa kufuzu fainali za Chan.

JK akiagana na Mshambuliaji wa timu hiyo Musa Hasan Mgosi Ikulu Dar Es Slaam.

Rais Jakaya Kikwete akiondoka baada ya kuopiga picha ya pamoja na kikosi cha wachezaji, viongozi na wadahamini.

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa Taifa Stars baada ya kula nao chakula cha mchana Ikulu.
0 comments:
Post a Comment