Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2009

Elizabeth Sigala
Salome Mataro
Salome Kiduko
Mary Murya
Beatrice Charles

Wanafunzi waliomkamata Maghembe kunako na kufanikiwa kushika Tano Bora ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2008 kitaifa, wanatoka shule ya Sekondari Marian Girls ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mkoa ambao ulikuwa ukitambulika na wengi kushika mkia kielimu.

Wanafunzi hao pichani juu wamefanikiwa kupata Daraja la Kwanza na Alama Saba kila mmoja ikimaanisha kuwa kila somo walipata Msonge yaani 'A'..
Kwa matokeo zaidi tembelea tovuti ya baraza la Mitihani la taifa hapa http://www.necta.go.tz/
Posted by MROKI On Monday, February 09, 2009 3 comments

3 comments:

  1. Mbona wote sura zao ziko hivi? Hii inamaanisha nini?

    ReplyDelete
  2. Safi sana Mungu awanusuru na Mumiani wa duniani maana huku duniani siku hizi kuna hatari

    ReplyDelete
  3. Aksante sana Mroki kwa picha hizi, binafsi nilikuwa sana na shauku ya kuwaona akina dada hawa vinara na nadhifu kabisa! Hongereni sana.... tupo pamoja!!!!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo