Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2009

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Rupiah Banda wa Zambia baada ya kumpokea jana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana. rais Banda atafanya ziara ya siku mbili nchini.
Rais Rupiah Banda wa Zambia, akiwa amembeba mtoto Malaika Nyange baada ya kumkabidhi shada la maua alipowasili Dar es Salaam jana kwa ziara ya kiserikali.
Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Rais Rupiah Banda wa Zambia wakiangalia burudani ya ngoma baada ya kumpokea jana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana
Posted by MROKI On Monday, February 09, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo