Nafasi Ya Matangazo

June 05, 2014

 Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na imani hizo za kishirikina
 ​​Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo
umati wa watu waliofika kushudia tukio hilo

 Nyumba yamfanyabishara ambapo alikutwa nyoka huyo na chini ni sehemu ya magari ya mfanyabiashra huyo
Kitambaa chenye maandishi ya kiarabu alichokutwa nacho nyoka huyokikiwa mbele ya geti la nyumba ya mfanyabiashara huyo
Posted by MROKI On Thursday, June 05, 2014 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJune 08, 2014

    Hayo so maandishi ya kiarabu. kiarabu hakiko hivyo. Wanajua wenyewe na Lugha zao za kishirikina.

    ReplyDelete
  2. HUMHPHREY YONASJune 28, 2014

    fedha na dhahabu ni mali ya bwana(Hagai 2.8) hivyo huu sasa ni wakati wa kusimama na YESU KRISTU uwe na maisha ya amani na furaha.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo