Nafasi Ya Matangazo

June 11, 2012

Tuvoti ya bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa band hipo hewani tena baada yakufanyiwa marekebisho fulani ya kiufundi kwa masaa machache jana 10 Mai 2012 ,
Kambi hiyo ya FFU at www.ngoma-africa.com inaendelea kumwaga burudani kamiliya muziki kama kawaida masaa 24 kwa siku 7 za wiki.
wadau wote mnaombwa kuendelea kupata raha ya muziki bila kwikwi  
Posted by MROKI On Monday, June 11, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo