Nafasi Ya Matangazo

September 07, 2026

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, yaliyofanyika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, leo tarehe 07 Septemba 2026.
 
Maziko hayo yamehudhuriwa na Viongozi Wakuu, Viongozi Wakuu Wastaafu, Viongozi wa Serikali, Dini, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Mahakama, Bunge, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Familia, Marafiki pamoja na waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.
 
Marehemu Hafidh Ameir Hassan amefariki leo, tarehe 07 Septemba 2026 katika Hospitali ya kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar alipokuwa anapatiwa matibabu.










Posted by MROKI On Monday, September 07, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo