Nafasi Ya Matangazo

January 27, 2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026. 

Posted by MROKI On Tuesday, January 27, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo