Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipanda mti katika eneo la Mji wa Serikali Mtumba kwa ajili kuadhimisha Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 27, 2026 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipanda mti katika eneo la Mji wa Serikali Mtumba kwa ajili kuadhimisha Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 27, 2026 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akipanda mti katika eneo la Mji wa Serikali Mtumba kwa ajili kuadhimisha Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 27, 2026 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akikata keki maalumu ya
kumpongeza na kuadhimisha Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika sanjari na
zoezi la upandaji wa miti katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma
leo Januari 27, 2026 jijini Dodoma. Anayeshuhudia kulia ni Naibu Katibu Mkuu
(Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akizungumza na
viongozi, watumishi wa Serikali na wananchi wakati wa zoezi la upandaji wa miti
kwa ajili kuadhimisha Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, lililofanyika katika eneo
la Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma leo Januari 27, 2026 jijini Dodoma.
*****************
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange ametoa rai kwa kila
Mtanzania kupanda mti angalau mmoja kila mwaka anapoadhimisha kumbukizi ya siku
ya kuzaliwa ili kuleta chachu katika hifadhi endelevu ya mazingira.pamoja na mambo mbalimbali lengo la kufanya zoezi la upandaji wa miti katika eneo hilo ni kurejesha hali nzuri ya mazingira kwa ajili ya kupumzikia.
Dk Bungwa aliongeza kuwa hadi sasa Tanzania ina jumla ya misitu 465 ambayo inamilikiwa na Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Vijijini na mamlaka zingine na kati ya hiyo, 26 ni hifadhi za misitu ya asili.








0 comments:
Post a Comment